Ushuru wa bidhaa zote zinazozalishwa na kuingizwa Marekani kutoka Afrika Mashariki umewekwa kwa kiwango cha asilimia 10% ...
Zaidi ya wakambizi elfu 70 kutoka Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo wamevuka mpaka na kuingia taifa jirani la Burundi, kuepuka ...
Hali ya wasiwasi inazidi kuikumba Kongo Mashariki katikati mwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa M23 huku nchi ...
Umoja wa Mataifa umesema vurugu zilizoibuka mashariki mwa Kongo zimewalazimu katika kipindi cha mwezi mmoja, watu 100,000 ...
Wiki moja baada ya Makamu wa Rais Riek Machar kuwekwa chini ya kizuizi cha nyumbani na vikosi vya usalama vya Rais Salva Kiir, mipango ya upatanishi inaanza kutekelezwa.
WAKATI kikosi cha timu ya taifa jana kikiwasili Morocco tayari kwa mchezo wa kufuzu kombe la Dunia dhidi ya timu ya taifa ya ...
Huenda ikawa ni jambo la kushangaza kwa wengi, lakini ukweli usiopingika ni kwamba Tanzania inaongoza katika uwekezaji nchini ...
" Tunafahamu Rwanda inajaribu kutuvamia kupitia ardhi ya DRC ili wazingizie waasi wa Red Tabara na M23. Lakini tunawaambia ...
The Africa Leadership Foundation (ALF) has called for a national dialogue on reparative justice for African women and girls.
Uongezaji wa thamani na kuongezeka kwa korosho zinazozalishwa kumetajwa kuwa sababu ya kupaa kwa mauzo ya zao hilo katika masoko ya nje.
Katika jitihada za kuongeza ufanisi katika uzalishaji wa zao la korosho wataalam 75 kutoka katika nchi tisa za Afrika ...
Following the false accusations that Rwanda steals DR Congo’s minerals, I want to shed light on how Rwanda complies with international conflict minerals frameworks and how this is validated by a good ...