OFISA Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Mansoor Industries Limited, Altaf Hirani, amezishauri nchi za Afrika Mashariki, kutafuta fedha zake wenyewe za kuwekeza katika miradi ya maendeleo, ikiwamo ya mafuta ...